TAHADHARI..!! HII NDIYO "PAFYUM" YENYE SUMU INAYOWEZA KUTOA UHAI WAKO UKIITUMIA..!!
Posted in
No comments
Saturday, April 12, 2014 By Unknown
Chanel ya Tbc1 imetangaza kua imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :- Iraq, Bahrein na Suudia, vilevile ktika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman. Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na wapatao 35 wapo hali mbaya. Tayari wameshagundua jina na muundo wa perfume hii yenye sumu na kuua, nayo inaitwa (LOVELY ) na baada ya uchunguzi imeonyesha kua athari yake haitokei mara baada ya kutumia (inapogusa sehemu ya mwili), bali inachukua siku 3-4 na inaweza kua ni kifo cha ghafla. Kwa usalama wako na uwapendao ieneze habari hii haraka sana.
Related posts
Share this post
0 comments: