Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

JOH MAKINI KAACHIA NGOMA MPYA- NAJIONA MIMI. SIKILIZA HAPA.

Posted in
No comments
Wednesday, June 25, 2014 By Unknown

IMG-20140617-WA0000


Ni single nyingine kutoka kwa mwamba wa Kaskazini ambaye pia anawakalisha Weusi kampuni Joh Makini wimbo unaitwa Najiona mimi [I see me] umefanywa na Nah Real pamoja na Chizan Brain.
Mara ya mwisho kwa Joh Makini kutoa single yake kwenye Radio ilikua June 2013 ambayo ilikua kolabo na Fundi Samweli lakini sasa amerudi na hii.
Joh atapita baadae usiku kusoma ulichomuandikia kwenye comments hapa chini mtu wangu so acha lolote la moyoni.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.