AFANDE SELE KUACHIA WIMBO MPYA WA MIAKA 15 YA AFANDE SELE NA MIAKA 10 YA UFALME WA RYMES.
Posted in
No comments
Thursday, June 26, 2014 By Unknown
Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao wako kwenye list ya wasanii wanaotimiza miaka 15 ya muziki wao,katika miaka hii 15 Afande Sele ameamua kufanya party ambayo itakua maalum kwa ajili ya wapenda muziki wote.
Kabla ya party hiyo Afande Sele ameamua kuachia wimbo huu ambao ameupa jina la miaka 10.
Bonyeza hapa chini on play button kusikiliza wimbo huo;
Related posts
Share this post
0 comments: