LINEX AKIMBIA DENI STUDIO.
Posted in
No comments
Thursday, June 26, 2014 By Unknown
Kutoka Kigoma All Stars Linex leo ameingia kwenye headline baada ya kusemekana kuwa alirekodi wimbo ambao hadi leo hajaulipia aliouimba kwa ajili ya harusi Miraji Kikwete mtoto wa Rais Jakaya Kikwete,wimbo ambao unasemekena ulilipwa lakini Linex hakupeleka hela studio.
87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza.
Related posts
Share this post
0 comments: