Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

UTAMBUE MTAA WA "UWANJA WA FISI" HAPA

Posted in
No comments
Saturday, March 29, 2014 By Unknown

Eneo maarufu kama "UWANJA WA FISI" linalopatikana jijini Dar es Salaam ni mashuhuri kwa shughuri za umalaya . Hali hii imekuwa tishio kwani shuguli hzo huhusisha mabinti watogo hali inayowapeleekea kuwa na hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI.

Angalia video hapa chini;


 
Angalia video hapa chini kujua nini kinatokea maeneo hayo kufuatia stori mbalimbali kutoka kwa wakazi wa eneo hilo. Moja kati ya matatizo yanayoyakabili maeneo hayo ni pamoja na unyama wanaoufanya vijana wahuni wanaopatikana hapo, lakini zaidi ni mateso na maisha yasiyo na uhuru miongoni mwao.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.