Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

NDOA YA HEMEDY MBIONI

Posted in
No comments
Tuesday, April 1, 2014 By Unknown

Msanii wa nyimbo za bongo flavour na mwiizaji mashuhuri katika uwanja wa filamu bongo Tanzania, amezua minong'ono mingi miongono mingi baada ya kupost picha inayomuonyesha yeye na mpenzi wake ambaye inasemekana ndiye shemeji yetu. 

So proud to call you my woman…..its official,”


Sambamba na hilo swala lililogusa kuta za watu ni ujumbe aiiokuwa ameuambatanisha katika picha hiyo hali iliyoonyesha dhahiri kuwa kimwana huyo anakidhi haja ya nguli huyo na kipenzi cha vinanda.


Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.