ANGALIA PICHA 03 ZA KINACHOENDELEA KWENYE MSIBA WA RACHEL WA BONGO MOVIE
Posted in
No comments
Tuesday, May 27, 2014 By Unknown
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo.
Mume wa marehemu Recho, George Saguda,akiwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha mkewe. Picha kwa hisani ya GPL
Related posts
Share this post
0 comments: