ANGALIA PICHA ZA BIRTHDAY YA DIVA WA CLOUDS FM ILIYOFANYIKA TAREHE 25 MWEZI HUU
Posted in
No comments
Tuesday, May 27, 2014 By Unknown
Tarehe 25 May 2014 ilikua ni Birthday ya Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho ya Cloudsfm Diva iliyofanyika katikati ya Bahari pande za White Sands Hotel na kuhudhuriwa na wageni wachache kwa mualiko maalum, alikuwepo Mtangazaji wa Amplifaya ya Cloudsfm Mtu wa Nguvu Millard Ayo, Mtangazaji wa Cloud E ya clouds Tv, Mwanadada Irene Andrew mtu wa karibu na Diva Loveness Love, Mdogo wake Diva Gloria, Francis Ayo pamoja na Gossip Cop Soudy Brown.
Related posts
Share this post
0 comments: