NIKKI WA PILI KUACHIA NGOMA MPYA SOON FT G'NAKO ITAKAYOKWENDA KWA JINA LA SITAKI KAZI.
Posted in
No comments
Thursday, May 8, 2014 By Unknown
Mzigo mwengine huu hapa kutoka kwa Nikki wa II kutoka kwenye kundi la Weusi, na sasa anasema "Staki Kazi" ndani yake kuna vionjo vya RnB akiwa amemshirikisha Ben Pol pamoja na G-Nako huku ngoma ikiwa imetengenezwa na Nahreel. So fanya kama unahesabu siku chache zijazo mpaka trehe 13 mwezi huu mzigo utadondoka HAPA na utaweza kusikiliza mdundo huu.
Related posts
Share this post
0 comments: