BAADA YA NEY LEE SASA NI DRANUEL_FURAHA.
Posted in kwelimc
No comments
Thursday, May 8, 2014 By Unknown
Kaa mkao wa kula kusikiliza track mpya inayokwenda kwa jina la 'Furaha' kutoka kwa mwanadada DRANUEL akifanya vema na akiiwakilisha tasnia ya mziki wa bongo kutoka Mbeya, The Green City. Ngoma imefanywa chini ya producer anayejulikana kama Phyno (Phyno Music)
Stay updated in here..!
Related posts
Share this post
0 comments: