Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

DIAMOND PLATNUMZ AENDELEA KUWAGALAGAZA WASANII WA AFRIKA KWENYE NOMINATIONS ZA KORA

Posted in
No comments
Friday, May 9, 2014 By Unknown


Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya Facebook ya tuzo hizo...Click <HAPA>Kuona Page hiyo.

Katika wiki ya ya 17 tangu watu waanze kutaja majina ya wasanii wa Afrika, Diamond ameendelea kuongoza na kuwaacha mbali wasanii wakubwa wakiwemo Koffie Olomide, Sarkodie, Fally Ipupa, Werason na wengine.

Habari: bongoclantz

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.