Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

LINEX ADAI WANAWAKE WA KIBONGO WALIKUWA WAKIMSUMBUA NA SASA AMETULIA NA MZUNGU WAKE

Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown

Linex akiwa na shemeji yetu "Suvi" kushoto
Kama unakumbuka vizuri, miezi kadhaa iliyopita, baada ya kuandikwa kwenye magazeti ya udaku kuwa anamsichana mwingine, na yeye kuruka futi mia na kusema bado yupo na mpenzi wake wa kizungu "Suvi" ambae ndio kila kitu kwake....
Leo hii Linex amethibitisha kuwa mambo yao hakuna anaeweza kuyaingilia..ukimsikiliza kwa makini utagundua kuwa anajiami sana kwa mpenzi wake huyo na ndo maana anajaribu kukuambia kuwa atakua ana matatizo kama kuna kvuvi atakae weza kutupa nyavu baharini na kumvua mpenzi wake wa sasa.

"kama kuna mvuvi atatupa nyavu kumvua huyu shemeji yenu wa sasa hivi basi ntakua nina tatizo, kwasababu maisha yangu mengi, nafkiri labda kwa sababu ya the way i was living, sababu unajua mi nataokea mtaani sasa labda the way nilivyokuwa naishi ilikua inafikia point watoto wa kike wanachoka maisha yangu ya mtaani na nini, so wanaamua kunichoka na wanaamua kuniacha na kuanza na maisha mengine,...
So hakuna jambo jipya kwenye swala la kupenda kwangu mimi yaani ...mi sina kinyongo na mvuvi ambae atatupa nyavu baharini na akafanikisha kumvua samaki ambae mi nilikua napenda kumuona aendelee kuwa baharini akifanya maswala yake"
 

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.