ABIRIA WANUSURIKA KIFO GONGO LA MBOTO
Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown
Watu kadhaa wanusurika kifo baada ya daladala huko Gongo la mboto jijini Dar es Salaam dereva wake kupoteza mwelekeo na kujikuta akisababisha maafa. Pichani ni daladala hiyo ambayo iliishia mtaroni pembezoni mwa barabara na askari wa usalama barabarani wakijitahidi kuyaondoa magari yaliyokuwa yamegongwa na gari hiyo na watu wakishuhudia tukio hilo.
Related posts
Share this post
0 comments: