CLUB YA MANCHESTER UNITED YAPATA PIGO LA KUONDOKEWA NA MMILIKI WA CLUB HIYO.
Posted in
No comments
Friday, May 30, 2014 By Unknown
Mmiliki wa club ya soka ya Manchester
United Malcolm Glazer alieinunua club hiyo toka mwaka 2005, amefariki
dunia akiwa na umri wa miaka 85 huku akiacha mke, watoto sita na wajukuu kumi na nne.
Glazer aliyekua akiishi Palm Beach
Florida Marekani, amekua akiugua kwa miaka kadhaa hivi sasa na biashara
zake kama club ya Manchester United zimekua zikiendeshwa na familia
yake.
Siku ya jana May 28 2014 ni mwaka mmoja
umetimia toka afariki staa wa bongofleva Albert Mangweha ambapo leo hii
dunia imepata misiba miwili mikubwa ambapo mmoja ni wa Mwanaharakati,
mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou pamoja na
Malcom Glazer.
Related posts
Share this post
0 comments: