SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MH. ANNA MAKINDA, AMWAMURU MWIGULU NCHEMBA KUVUA SKAFU MARA MOJA NDANI YA UKUMBI WA BUNGE
Posted in
No comments
Friday, May 30, 2014 By Unknown
Mwigulu Nchemba ni mpenda sifa sana. Anadhani kila mwananchi anaipenda
skafu yake na hivyo kumuonyesha kuwa mbunifu na wa kipekee.
Awe
anaheshimu mahali anapokuwa kama Bungeni, Mahakamani,kanisani na
kwingineko kunakohitaji heshhima ya juu. Hongera Spika Makinda kwa
kusema na kuamuru kuvuliwa kwa skafu ya Mwigulu Nchemba
Related posts
Share this post
0 comments: