FLOYD MYWEATHER AMNUNULIA GARI GIRLFRIEND WAKE, LENYE THAMANI YA MILLIONI 600 KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY.
Posted in
No comments
Tuesday, July 15, 2014 By Unknown
Bingwa wa boxing na moja kati ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi sana Floyd Mayweather ameamua kumnunulia gari la kifahari girlfriend wake Bad Medina hata kabla ya siku ya birthday haijafika.
Gari hilo lenye thamani zaidi ya milioni 600 ameli-post kwenye instagram na kuandika “I know your birthday is on July 27th but here is an early birthday gift @badmedina.
Gari lenyewe ni custom Phantom Rolls Royce, lakini Floyd Mayweather ana tabia ya kuchukua zawadi zote kwa alizowahi kumnunulia girlfriend wake pale wanapoachana. Hii ilimtokea ex girlfriend wake Shantel Jackson
Related posts
Share this post
0 comments: