HIZI NDIZO PICHA TISA (09) ZA RIHANNA AKISHEREHEKEA BAADA YA USHINDI WA KOMBE LA DUNIA NA WACHEZAJI WA UJERUMANI.
Posted in
No comments
Tuesday, July 15, 2014 By Unknown
Kwenye fainali ya kombe la dunia msanii Rihanna aliweka wazi kuwa yeye ni shabiki wa Ujerumani tangu mechi inaanza. Rihanna alikuwa kwenye jukwaa la watazamaji akiwa na jezi ya Ujerumani na alionekana akishangilia sana baada ya goli lililoipa ushindi ujerumani likifungwa.
Baada ya mechi kuisha Rihanna alijumuika pamoja na wachezaji wa Ujerumani kusherekea ubingwa mara baada ya mechi. Hizi ni picha zake akiwa na wachezaji wa nchi hiyo.
Related posts
Share this post
0 comments: