LICHA YA UTAJIRI NA KUWA SUPER STAR, HIVI NDIVYO RONALDO ALIVYOUNGANA NA WENZAKE KATIKA TIMU YA TAIFA.
Posted in
No comments
Friday, May 30, 2014 By Unknown
Ikiwa ni jana tu May 29 2014 Cristiano Ronaldo ametajwa kushika namba moja
kwenye list ya mastaa kumi wa soka ambao wanavutia kibiashara na kufanya
kazi na makampuni makubwa ya kibiashara duniani.
Hii post inahusu kuwasili kwa Ronaldo kwenye hoteli timu yake ya
taifa ya Portugal ilikoweka makazi ya muda kujiandaa na kombe la dunia
litakaloanza siku chache zijazo nchini Brazil.
Kulikua
na mashabiki wengi waliokua wakimsubiria wakiwemo kina mama, baba na
watoto ambao wengine walijaribu hata kumgusa, wengine kumsemesha na
wengine kumpiga picha.
Related posts
Share this post
0 comments: