CRAZY VIDEOZ U MUST WATCH: MASTAA WETU WA KIKE HUKO INSTAGRAM - JOKATE, PENNY NA LULU.
Posted in
No comments
Saturday, May 31, 2014 By Unknown
Hizi ni short clip za video ambazo mastaa wa kike wa hapa bongo wameziachia huko kwenye mtandao wa instagram kwaahili ya ma-Fans wao. Jokate Mwegelo aka Kidoti, (anaonyesha mashauzi yake nakuzugumza kizungu.
Mimi sijui wewe msikilize tu). Elizabeth Michael aka Lulu (Huyu mtoto kama kawa anapenda mziki huyo-humu anaimba na kuchezesha kishwa kwa mbwembwe akiwa na tabasamu TAMU....Penny (Huyu ana kupiga kiss na anakwambia uwafuate walipo -yupo na rafiki yake-Kwaunde wangu hii mimi ndio nimeipenda)
Related posts
Share this post
0 comments: