DIAMOND AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA (SIJATOA WIMBO) KWANINI KASEMA HIVYO. SOMA HII
Posted in
No comments
Sunday, May 11, 2014 By Unknown
Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa… Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified….
Related posts
Share this post
0 comments: