HATIMAYE YULE MWANARIADHA WA SOUTH AFRIKA INAYOSEMEKANA ANA JINSIA MBILI ANATAKA KUMUONA GIRLFRIEND WAKE.
Posted in
No comments
Thursday, May 15, 2014 By Unknown
Caster Semenya akiwa Violet Rasebova |
Kwamujibu wa wa website ya Daily Sun, Semenya (23) aliwatuma wazazi wake wapeleke posa na kujadiliana kuhusu mahali.
Jarida la INSIDER limeeleza kuwa familia zote mbili zemefurahi na wamekubaliana mahali kuwa kiasi cha R25 000.
Utata wa juu ya jinsia ya Semenya kwa mara ya kwanza aliposhinda mdio za mita 800 kwa wanawake kwenye mashindano ya IAAF World Championships mjini Berlin, mwaka 2009, ndipo wadau walitaka apimwe njinsia yake na kubaini kuwa ni mwanamkwe. But sasa anataka kuoa.
Related posts
Share this post
0 comments: