HII NDIYO LIST YA NYIMBO ANAZOSIKILIZA WYNE ROONEY MSIMU HUU KUELEKEA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA
Posted in
No comments
Thursday, May 29, 2014 By Unknown
Zikiwa
zimebaki takribani wiki mbili kabla ya michuano ya kombe la dunia
kuanza, mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya
England Wayne Rooney, leo ameshea playlist ya nyimbo atakazokuwa
anasikiliza sana wakati wa michuano ya kombe la dunia nchini Brazil.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, Rooney aliandika: “Hii ndio albam yangu kwa ajili ya World Cup, natumaini mtaifurahia.”
Katika listi hiyo wimbo wa kwanza kabisa ni wa mwanamuziki Beyonce
alioshirikiana na mumewe Jay Z, Drunk In Love, msanii mwingine ambaye
yupo kwenye listi hiyo ni Ed Sheeran, James Blunt na wengine wengi.
Listi ya nyimbo anazosikiliza Rooney kwa ajili ya World Cup
Related posts
Share this post
0 comments: