HII NDIYO NYUMBA NA GARI KAMA MAFANIKIO YA MASANJA KATIKA KAZI ZAKE.
Posted in
No comments
Wednesday, May 28, 2014 By Unknown
Masanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy.
Wakati anaanza maisha masanja alikua akikaa kwenye ‘geto’ lake maeneo ya Tabata Aroma huku akilipa kodi ya TSh. 5,000 kwa mwezi lakini hii leo masanja anamiliki nyumba mbil iza ukweli huku moja ikiwa ni ya ghorofa maeneo hayohayo ya Tabata na pia anamiliki magari kama Toyota Land Cruiser V8 ma mengine.
Source : VIBE
Related posts
Share this post
0 comments: