WATOTO WENYE VIPAJI VYA KUCHEZA, HII YA MICHAEL JACKSON YATISHA ZAIDI.
Posted in
No comments
Thursday, May 29, 2014 By Unknown
Kwenye dunia hii ambayo internet imekua ikihusika kuonyesha mambo mengi yanayotendeka duniani, tumeshuhudia vitu mbalimbali ambavyo vimekua vikubwa baada ya kufika kwenye internet ambapo mfano mzuri ni hawa watoto kwenye mashindano ya vipaji vya kucheza.
Wa kwanza ni huyu alieshinda kwenye shindano kwa kucheza kama Michael Jackson ambapo video yake imewekwa kwenye mtandao May 21 2014 na mpaka sasa imetazamwa na zaidi ya watu laki moja na elfu kumi.
Huyu wa pili hapa chini video yake imetazamwa na watu zaidi ya milioni 22 na iliwekwa March 31 2014
Related posts
Share this post
0 comments: