HIKI NDICHO KILICHOJILI BAADA YA MWALIKO WA WANASOKA, ZIDANE, LUCAS MOURA NA BALE NYUMBANI KWA BECKHAM.
Posted in
No comments
Tuesday, June 10, 2014 By Unknown
Unadhani nini kitatokea pale magwiji wa soka duniani kama David Beckham na Zinedine Zidane wanapokaa na wadogo zao Lucas Moura na Gareth Bale kuangalia mechi ya soka nyumbani kwa mmoja wao.
Kwenye tangazo jipya la kampuni ya Adidas, wanaonekana wachezaji hao – Zinedine Zidane, Moura, Bale wakiwa kwenye jumba la Beckingham Palace linalomilikiwa na Beckham – wakitazama mpira wa michezo ya game, ghafla wanne hao wanaanza kubishana juu ya kucheza soka na mwishowe wanaamua kuonyesha namna ya kucheza, wakigeuza sebule ya jumba la Beckham uwanja.
Angalia hapa video inayoonyesha tukio hilo;
Related posts
Share this post
0 comments: