HIVI NDIVYO STORI ZILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA GAMBE (POMBE) MPYA TZ MAY 30.
Posted in
No comments
Sunday, June 1, 2014 By Unknown
Mei 30 ilikua ni uzinduzi wa gambe jipya mjini ambalo matangazo yake na mabalozi walianza kuonekana miezi michache iliyopita na ilikua mchuano uliokuwa unatakiwa kutuma video fupi kuelezea utakachofanya ukiwa balozi wa bia hii.
Mmoja katoka kwa sasa wamebaki 5,sasa jana ndiyo ilikua ni siku ya kutambulisha bia hii ambayo ilidondoshwa na Helcopter kwenye viwanja vya Escape One Mikocheni,Mc wa uzinduzi huu alikua ni B dozen na Sam Misago.
Bia hii mpya kutoka kampuni ya Serengeti inaitwa Serengeti Platinum,miongoni mwa burudani zilizokuwepo ni kutoka pia kwa Vanessa Mdee ‘ Vee Money’,Izzo B na Msami wa THT.
Picha by Millardayo.com
Related posts
Share this post
0 comments: