ANGALIA HABARI PICHA YA SHOW YA KILI MUSIC TOUR HUKO MWANZA.
Posted in
No comments
Sunday, June 1, 2014 By Unknown
Kili tour bado inaendelea na list ndefu ya wasanii wamewafurahisha wakazi wa Mwanza 88.1 kwa show kali jana May 31 2014 ikiwa ni Tour ambayo inawajumuisha washindi na washiriki mbalimbali wa tuzo za KTMA 2014.
Asante kwa ripota wa nguvu Shafiq alietuma hizi picha, unaweza kujiunga nae kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA
Related posts
Share this post
0 comments: