NIKKI MINAJ APATA AMPENDAYA NA KUSEMA SIKU MOJA ATAOLEWA NA HUYU HAPA. SOMA ZAIDI HAPA
Posted in
No comments
Sunday, June 1, 2014 By Unknown
Nicki Minaj amejibu swali hili kwa uhakika kabisa bila wasiwasi wowote na kuwa gumzo tena.Minaj akiwa anafanya interview na magazine ya I-D moja ya majibu yake yana make headline hivi sasa kwenye internet.
Jibu hilo ni kuhusu mwanaume bora zaidi na kwa haraka Nicki alisema siku moja ataondoka na Drake wakafunge ndoa kwasababu huyo ndiyo mwanaume bora kwake. Baada ya story hii kuanza ku-make headlines Drake na yeye akaanza ku-post picha za Nicki Minaj kwenye instagram yake.
Hii si mara ya kwanza kwa wawili hawa kuchukua attention ya watu, mwaka 2010 waliwahi kutengeneza fake marriage kwenye mtandao wa twitter na kuwa gumzo kubwa.
Related posts
Share this post
0 comments: