KAMA ULIMISS MCHEZO KATI YA UJERUMANI NA URENO ANGALIA MAGORI HAPA.
Posted in
No comments
Tuesday, June 17, 2014 By Unknown
Michuano ya kombe la dunia inayofanyika nchini Brazil imezidi kushika hatamu, kwa michezo mitatu kupigwa usiku wa kuamkia leo. Mechi ya kwanza ilishuhudia Ujerumani ikiwaadhibu Ureno kwa kipigo cha magoli 4-0.
Unaweza kuangalia magoli hapa;
Related posts
Share this post
0 comments: