MATOKEO YA ALICHOKIFANYA MESSI KATIKA MECHI YA ARGENTINA NA BOSNIA HAYA HAPA.
Posted in
No comments
Tuesday, June 17, 2014 By Unknown
Moja ya timu zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa dunia kwenye michuano ya mwaka huu, Argentina usiku wa kuamkia leo ilitupa karata yake ya kwanza dhidi ya Bosnia.
Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa 2-1 kwa Argentina.
Beki wa Bosnia, Sead Kolasinac alijifunga bao dakika ya tatu, na katika dakika ya 65, Messi alifunga bao la pili na la ushindi.
Bao la kusawazisha la Bosnia limefungwa na Vedad Ibisevic katika dakika ya 85.
Michuano hiyo itaendelea leo kwa mechi ya kati ya Ureno dhidi ya Ujerumani, kabla ya mwakilishi mwingine wa Afrika, Nigeria hawajaumana na Iran.
Related posts
Share this post
0 comments: