MATOKEO YA TUZO ALIZOWANIA DIAMOND NDANI YA MTV AWARDS.
Posted in
No comments
Saturday, June 7, 2014 By Unknown
Tuzo
ya mwisho alikuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best
Male Artist lakini imechukuliwa na Davido. Leo Diamond alikuwa
anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo.
Tuzo ya best collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ
Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja.
Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi kubwa kupiga kura na kutoa support kwenye mitandao ya kijamii.
Related posts
Share this post
0 comments: