BAADA YA DIAMOND KUKOSA TUZO: INSTAGRAM KWA CHAFUKA.....DIVA AJITOA TEAM WEMA!!
Posted in
No comments
Sunday, June 8, 2014 By Unknown
Daah
hii ni NOUMA sana...Kama mnavyojua, Msanii wetu hapa 255, Diamond
hakufanikiwa kupata TUZO za MTVmamaAWARD hapo jana huko South Africa.
(Sio mbaya sana kushiriki tu kwangu Diamond ni ushindi)
Na kama unavyojua tena huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM kuna AKAUNTI mbalimbali ambazo zina WSAPOTI Diamond na Wema na zingine hazi WASAPOTI... Kwa kifupi wapo walio ponda na wengine kumpongeza kwa hatua aliyofikia...ISHU YENYEWE NI HIVI!!
Diva
wa Clouds FM kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM na alijitokeza na
kumpongeza DAVIDO kwa kuchukua TUZO kuwa ndio alikuwa ana DEZEVU (Best
Male: Davido (Nigeria) ambayo pia Diamond alikuwa anashindania)....hapa
ndio MOTO ukawaka...wale wote (wengi wao) wanaojiita TEAM WEMA
walimuibukia na kumponda sana DIVA ambae hivi karibuni sema hadharani
kuwa yeye ni TEAM WEMA [SOMA HAPA]
Kufuatia
KOMENT nyingi kutoka kwa watu wa TEAM WEMA kumtukana na ku DIS na
Kususia kwenda kwenye SHOW yake ambayo itafanyika leo BILLS. Soma hizo comments hap chini;
Related posts
Share this post
0 comments: