SHETA AAMUA KUTUMIA MBINU HII YA DIAMOND AKIWA NA MATUMAIN YA KUFANIKIWA. SOMA HAPA
Posted in
No comments
Sunday, June 8, 2014 By Unknown
Inaonekana kama matunda ya kufanya track kali na kutoa video kali ndio chanzo cha kuanza kupata jina,kama ilivyotokea kwa Diamond Platnumz kuanza kuvuka mipaka na kuchukua riski kutumia hela nyingi kufanya video kali ambazo hadi hii leo zinazidi kumuweka katika chati ya juu ya muziki,
Shetta naye aelekea nchini sauzi, ila yeye akiwa yuko huko si kwa tuzo za mtv peke yake bali alienda kufanya video yake mpya amabyo haikuweza kujulikana mapema itwaitaje,kupitia account yake ya instagram Shetta alipost picha nyingi akiwa miji mbali mbali huko sauzi huku akifunguka kuwa amemaliza kufanya video yake nchini hapo,”Thnx God we done with my video shoot n now m jas chilln with the Big director in Africa ” -alifunguka shetta.
Related posts
Share this post
0 comments: