Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

PATA HABARI KAMILI JUU YA KIFO CHA MZEE SMALL HAPA.

Posted in
No comments
Sunday, June 8, 2014 By Unknown

Hizi ni taarifa za awali kuhusu kifo cha Mzee Small.

Mzee Small ni miongoni mwa waigizaji wakongwe nchini ambao kupitia kazi yake ya sanaa ya maigizo ndani na nje ya Tanzania tulimtambua usiku wa June 07 zilianza kusambaa taarifa za kifo chake.

sm-4 

Ingawa kama unakumbuka December 10 2013 Mzee Small pia aliwahi kuzushiwa kifo na familia ikasema ile ilikua ni mara ya pili kwa Mzee Small kuzushiwa kufariki dunia.
Muhidin ambaye ni mtoto wa marehemu Mzee Small amethibitisha kifo cha Mzee Small na kusema ni kweli kafariki na amefariki akiwa anapata matibabu katika hospitali ya taifa Muhimbili Dar es salaam mpaka sasa sababu za kifo chake zimesemwa kuwa ni presha baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Endelea kunifatilia kwa taarifa zaidi,millardayo.com inatoa pole kwa familia kwa msiba huu.

Picha za kwanza za msiba wa Mzee Small na sauti ya chanzo cha kifo pamoja na ratiba ya msiba

1

Msanii Mzee Small ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 8/6/2014.
Hizi ni picha kutoka kwenye msiba na sauti kutoka kwa mwanae aliyekuwa naye hospitali wakati mauti yalipomkuta Mzee Small.
Hii ni jinsi mauti yalivyomkuta mzee Small.

Ukitaka kufika nyumbani kwa Mzee Small shuka kituo cha Tabata Mawenzi na hapo kuna bodaboda watakupeleka au kukuelekeza.

1 








9

 

Picha 12 kutoka nyumbani kwa Mzee Small mchana June 08.

9tyson 

Kutoka nyumbani kwa marehemu Mzee Small Tabata Kimanga taratibu za mazishi mpaka sasa familia imepanga mazishi yatafanyika kwenye makaburi ya Segerea kesho saa 10 jioni.

13tyson 

Mahmood mtoto wa nne wa Maraehemu Mzee Small amesema kuwa kesho wanategemea mwili kuuleta nyumbani kisha taratibu zote zitafanyika nyumbani ikiwepo dua ya kumuombea,chanzo cha kifo ni baada ya citiscan ni kwamba damu ilivilia kichwani.



21tyson

19tyson






12tyson

10tyson

Hospitali alipelekwa Asubuhi ya June 07 kisha saa 4 na dakika 9 usiku wa June 7 Mzee Small alifariki dunia,haya ni maelezo mafupi ya mtoto wa Mzee Small aliyayotoa kupitia millardayo.com.

Habari: Millardayo

 

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.