BAADA YA SNURA SASA HUYU HAPA MWINGINE AKILETA MAJANGA.
Posted in
No comments
Wednesday, July 16, 2014 By Unknown
Kama mfatiliaji wa show mbalimbali anazofanya Snura kwa hivi karibuni amekua akimkaribisha msanii huyu kwenye show zake kama Suprise kwa mashabiki wake ambao wanakua wamekusanyika kutazama show yake.
Anaitwa Y Tony ni moja kati ya wasanii walioingia kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Award 2013/2014 kwenye kipengele cha wasanii chipukizi,Watanzania wengi wamemjua Y Ton baada ya singo yake ya Masebene.
Huu wimbo unaitwa Shtobe na Y Ton yuko chini ya Hk ambaye pia ni meneja wa msanii Snura na pia aliwahi kuwa meneja wa Marehemu Sharo Milionea.
Bonyeza play kusikiliza na kudownload.
Related posts
Share this post
0 comments: