LINAH HATIMAYE KUVISHWA PETE YA UCHUMBA
Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown
Msanii wa mziki kutoka Tanzania katika miondoko ya Bongo flava, Estelina Sanga maarufu kama Linah, ameweka wazi suala lake la kuchumbiwa kwa "ku-post" picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii akionyesha pete ya uchumba aliyovishwa na "Kibopa" hapa mjini. Linah alieleza kuwa hata hivyo ashakua mtu mzima na hivyo hakuona ajabu kupigwa picha za namna hiyo kuweka wazi juu ya jambo la yeye kuchombiwa
Related posts
Share this post
0 comments: