LADY JAYDEE KUTANGAZA KUTOFANYA SHOW MWEZI JANUARY
Posted in
No comments
Tuesday, December 31, 2013 By Unknown
Natangulia kuwatakia kheri ya mwaka mpya 2014, nawashukuru kwa ushirikiano mliouonyesha mwaka mzima 2013.
Nitapumzika kufanya shows mwezi January wote, na nitarudi tena kazini kuanzia February 1, 2014.
Lakini vitu vingine kama nyimbo mpya na Diary ya Lady JayDee vitaendelea kusikika kwenye redio na kuonekana kwenye television.
Mungu awabariki, Mapenzi tele kwenu nyote HAPPY NEW YEAR

Related posts
Share this post
0 comments: