UNAJUA FID Q AMEBONGA NINI LEO...?
Posted in
No comments
Thursday, December 12, 2013 By Unknown
Fid Q msanii mahili wa Hip HoP Tz amefunguka katika page yake ya twitter na kutupia kitu cha namna hii hapa chini. Na kama inahusu, basi sema wewe unamkumbuka Madiba, Nelson Mandela kwa kipi kilichokugusa. Ni wakati wako kufunguka....... Hii hapa
The point is to *ignore the ignorance of the ignorant&help secure the survival of a people
Related posts
Share this post
0 comments: