WARAKA WA SIRI MPYAA WA NDANI YA CHADEMA WAVUJA ... USOME HAPA LIVE | LUCKYJUNIOR ' THE TIGER'
Posted in
1 comment
Saturday, December 7, 2013 By Unknown
WARAKA WA SIRI MPYAA WA NDANI YA CHADEMA WAVUJA ... USOME HAPA LIVE
|
Ndugu watanzania,
nimelazimika kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu mkuu, na wanaoitwa wajumbe wa baraza la maamuzi la chama ambao kwa kweli sijafanikiwa kuwafahamu.
Waraka huu nimeuchomoa kwenye file la kazi za kila siku za ndugu HEMEDI SABULA ambaye ni Afisa wa kurugenzi ya ulinzi na usalama wa CHADEMA MAKAO MAKUU.
Ujumbe uliokuwepo ndani ya huu waraka ni wa kusikitisha sana kiasi kwamba nimeshindwa kuvumilia kuacha kuona watanzania wakiendelea kupotoshwa namna hii.
Tafadhali wanahabari sambazeni ujumbe huu ili watanzania wengi zaidi waweze kuendelea kutambua kinachoendelea ndani ya chama chetu.
Ninaomba niendelee kuficha jina langu kwa sasa
Niiteni mwanamapinduzi mzalendo.
Makao makuu chadema
Related posts
Share this post
Nataka kufahamu kipi ndicho chama chenye ukamilifu ambacho kitasaidia na kuleta maendeleo nchini bila kujari maslahi yake ndani ya chama na kitazame jamii inataka nini. Maana kila siku tunasikia migogoro ndani ya chama, na kwa namna hiyo tutawezaje kukiamini chama hicho kushika madaraka katika nchi. Swali ni Je, wataweza....?
ReplyDelete