AKUTA NYOKA NDANI YA CHOO CHA KUKALIA
Posted in
No comments
Saturday, January 18, 2014 By Unknown
"Jamani tuweni makini na hivyo vyoo vya kisasa vya kukalia kabla ya kukimbilia kukaa na kujisaidia jaribu kuchungulia ..mimi nimekutana na jinyoka kubwa sana aina ya Cobra ndani ya choo ona picha hapo juu..nisinge chungulia kabla basi matako yangu yangekuwa chakula cha nyoka...."
Related posts
Share this post
0 comments: