Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

BOB JUNIOR AAMUA KUTUNGA WIMBO SABABU NI MAUMIVU ANAYOYAPATA BAADA YA KUVUNJIKA NDOA YAKE

Posted in
No comments
Saturday, January 18, 2014 By Unknown

























Rais wa Masharobaro, Raheem Ramadhan aka Bob Junior anatarajia kuusema ukweli wake wote uliozunguka maisha yake ya ndoa iliyovunjika kwenye wimbo mpya alioupa jina ‘Ukweli Wangu’.

Akiongea na kipengele cha Chumba Cha Sindano kupitia Kipindi cha Bomba Base Show cha Bomba FM Mbeya, Bob Junior amesema kwenye wimbo mashabiki watamsikia alivyoimba kwa hisia kali. “Kuna wimbo unaitwa UKWELI WANGU mwezi wa pili au mwezi wa tatu nitauachia lakini umeshaisha upo mastered na kila kitu ni wimbo mmoja mkali sana unahusu ukweli wa maisha yangu juu ya mimi na mapenzi yangu yote ni mambo mengi nimeongelea na wimbo wa feeling sana,” amesema.

Katika hatua nyingine, Bob Junior amesema na kuwa booked na u-busy wa majukumu kwa waongozaji) wa video wa
kampuni ya Ogopa Videoz ya nchini Kenya ni sababu kuu iliyochangia video ya BASHASHA kuchelewa kutoka mpaka sasa.

“Video nimepewa nusu demo mpaka sasa hivi, jamaa wamesafiri wapo Marekani kuna project wanaifanya na Wakenya Fulani, wakirudi nadhani deadline next week wamesema watanipa full video, wamenifanya ni delay sana sasa sijui kwamba project yangu watakuwa wameimaliza na kunipa,” amesema muimbaji huyo.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.