DUNIA SASA IMEKWISHA, HII NI AIBU
Posted in
No comments
Thursday, January 2, 2014 By Unknown
Binti mmoja aitwaye Khadija Juma mkazi wa Jiji la Dar es Salaam ambaye kulingana na habari zilizopo katika profile yake ya facebook amedai anafanya kazi katika jamii ya msalaba mwekundu, ame-post picha katika timeline yake akiwa uchi wa mnyama. Hii inatisha sana kama watanzania tutalifumbia macho jambo kama hili na kutoona ni jambo la ajabu pindi mabinti zetu wanapofanya mambo kama haya. Na ni aibu kubwa na ni jambo la kustaajabisha kuona maadili ya kitanzania yanaporomoka kwa kiasi hiki. Naye bila aibu baada ya ya watu kadhaa kucomment katika picha hiyo kwa maneno ya kejeli ndipo alipoamua kutoa picha hiyo.
Related posts
Share this post
0 comments: