JE, UNJUA NEY WA MITEGO ALIVYOMTUKANA NICK MBISHI BAADA YA NGOMA YAKE YA NEY WA MITEGO, SOMA HAPA
Posted in
No comments
Thursday, January 2, 2014 By Unknown
Msanii rapper Ney wa Mitego alimshushia matusi mazito rapper mwenzie Nikki Mbishi mtandaoni jambo linaloonyesha uwepo wa uhasama miongoni mwao. Hebu tazama jinsi Ney alivyoandika hapa chini....!
Mpaka saivi NIKKI MBISHI ajazungumzia suala hili na uenda beef ili likafika mbali kama halitazimwa.
Swali ni je, beef kama izi zitaweza kuufikisha mbali mziki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya wa Tanzania? //JANB MULTIMEDIA
Read more: http://www.janbonline.com/products/ney-wamitego-azinguana-na-nikki-mbishi-/
Related posts
Share this post
0 comments: