JACKIE CLIFF HATIMAYE URAIANI
Posted in
No comments
Wednesday, January 15, 2014 By Unknown
Ni baada ya kupost picha hiyo hapo juu katika mtandao wa kijamii maarufu kama instagram hali inayodhihirisha kuwa kwa namna moja ama nyingine, yupo mtaani akiendelea na shughuli zingine mbali na mazingira aliyokuwapo hapo awali tangu aliposhikiliwa kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya.
Related posts
Share this post
0 comments: