Discussion

...................................................

...................................................

...................................................

...................................................

kibongobongo mpango mzima

kibongobongo mpango mzima

KOLETA AWEKA WAZI ALIPOHONGWA ZAIDI YA LAKI TANO ILI ATUMIWE KINYUME NA MAUMBILE

Posted in
No comments
Saturday, January 25, 2014 By Unknown

Msanii anayeuza nyago kwenye filamu za
Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’
amefunguka kuwa analaani mastaa
wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na
maumbile akidai kuwa wapo ambao
wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa
ya pesa.
Akiongea  na gazeti la Ijumaa, Koleta alisema
anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na
kujidhalilisha kulikopitiliza.
“Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi
wanataka kuwatumia wanawake kinyume na
maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho.
Alishawahi kunitokea mwanaume mwenye
heshima zake, alinipigia simu na kuniambia
licha ya kuwa na mke kuna vitu anavikosa.
“Nilipomuuliza ni vitu gani akaniambia anataka anitumie kinyume na maumbile na nichague zawadi isiyopungua milioni tano aniletee, nikakataa na kumwambia sifanyi biashara hiyo, ukweli mimi nakemea na ninawachukia sana wanaofanya mchezo huo,” alisema Koleta.

Related posts

0 comments:

About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Donec auctor arcut pretium consequat.

Proudly Powered by Blogger.