TETESI ZA MIMBA YA NICKI MINAJ YASEMEKANA KUWA NI YA LIL WYNE
Posted in
No comments
Monday, January 13, 2014 By Unknown
Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine bali Lil Wayne. Nicki minaj alionekana akiwa na kitumbo kidogo akitoka dinner tarehe 2 januari na akitumia maji tu usiku huo kitu ambacho sio kawaida yake.Tunasubiri kuona kama nicki atatangaza rasmi kuhusiana na rumour hizi.Rumour hizi ni suprise kwa watu wengi kwasababu nicki minaj alishatamka katika interview na kituo cha MTV kwamba lil wayne ni kama kaka kwake.”Not only is he my boss, but he’s also like my brother,” alisema nicki minaj mwezi April Mwaka Jana.Kama rumour hizi zikiwa kweli mtoto atakayezaliwa atakua ni wa 5 kwa wayne (ana watoto wanne wote mama tofauti). Watu wengi imekua ndio topic yao leo kwenye mtandao huku wakiwa na wasiwasi kwamba nicki na wayne hawana parenting skills
Related posts
Share this post
0 comments: