MTU ANAYEONGOZA KUWA NA FOLLOWERS WENGI KATIKA MTANDAO WA TWITTER KWA KUFIKISHA FOLLOWERS MILLION 50
Posted in
No comments
Monday, February 3, 2014 By Unknown
Mwanamuziki Ajulikanae kama Katy Perry amekuwa mtu wa kwanza kufikisha followers Milion 50 kwenye mtandao wa Twiiter ...Anae fuata kwa nyuma ni Justiner Birber ambae ana followers Mil 49 na wa Tatu ni Raisi wa Marekani Ambaye ana followers Mil 41.
Related posts
Share this post
0 comments: