ACHARANGWA VISU BAADA YA KUTOKA NA MWANAUME WA MTU.
Posted in
No comments
Wednesday, March 26, 2014 By Unknown
Je Unaweza kufanya unyama kama huu ukisikia mtu wako anatoka kimapenzi na mtu mwingine? Basi hii imetokea hivi karibuni msichana mmoja baada ya kusikia boyfriend wake anatoka na msichana mwingine alitoka na kumtafuta huyu msichana na kumchana chana na kisu kama unavyoona hapo kwenye.
Habari: Udaku
Related posts
Share this post
0 comments: