PREZZO ATUPIA KIATU ALICHOKINUNUA KWA DOLA 995 KIBONGOBONGO NI KAMA 1,622,844/= TZS. CHEZEA
Posted in
No comments
Wednesday, April 2, 2014 By Unknown
Prezzo kama ilivyo kawaida yake kujishow off ..leo amepost picha akiwa amevaa viatu vipya aina ya Giuseppe Zanotti ambayo gharama yake ni dola 995 za kimarekani , ukibadilisha kwa hela ya Tanzania ni kama Milion moja na Laki sina na ushee hivi.....
Habari-Regina Iwole
Related posts
Share this post
0 comments: