SHOW ROOM YA MAGARI KUWAKA MOTO MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM
Posted in
No comments
Monday, April 7, 2014 By Unknown
Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Magari yakiwa yameteketea kwa moto
Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.
Related posts
Share this post
0 comments: